Mahakama moja nchini Misri
imewahukumu adhabu ya kifo watu 21 kufuatia hukusika katika vurugukatika mchezo
wa soka baina timu pinzani nchini humo ambapo watu 74 walipoteza maisha mwezi wa
pili mwaka jana.
Vurugu hizo, mbaya zaidi
kutokea nchini Misri katika Nyanja ya soka, ziliztokea baada ya mechi ya Ligi
Kuu katika uwanja wa port.
No comments:
Post a Comment