MASHABIKI WA DIAMOND WAJIULIZA MASWALI MENGI SANA JUU YA PICHA HII
Msanii wa Bongo
Fleva maarufu Diamond Platinum siku ya leo kupitia katika mitandao mbalimbali
kulikuwa na maswali mengi sana juu ya picha ambayo ikimuonyesha Diamond
Platinum akiwa amelala na Penny.
Hii ni moja kati
ya page ya facebook ambayo watu wengi wakiulizana maswali juu ya picha
hiyo.
No comments:
Post a Comment