MH. MBILINYI AZINDUA IZZO BIZNESS INTERNET CAFE & SECRETARIAL BUREAU
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu leo alikuwa mgeni rasmi
kwenye uzinduzi wa internet cafe ya rapper Emmanuel ‘Izzo B’ Simwinga.
Ofisi hiyo iitwayo Izzo Bizness Internet Cafe & Secretarial Bureau ipo TEKU
University jijini Mbeya
No comments:
Post a Comment