Murphy pamoja na familia na marafiki zake walikuwa mapumzikoni Nchini Uswis katika mji wa Zernatt.
Mmoja wa mashuhuda wanasema kuwa Murphy alipoteza muelekeo baada ya kushindwa kuidhibiti ubaowake wa kutelezea katika barafu na kupelekea kunasa katika mtu huku akiwa katika mwendo kasi.
Eddie Murphy alipata msaada kutoka kwa kikosi maalum cha doria cha Ski na kupelekwa katika Hospitali ya jirani lakini inaelezwa kuwa Muigizaji huyo huenda alipoteza maisha muda mfupi baada ya ajali hiyo.
Ajali hiyo inaelezwa kuwa ni ajali ya kawaida kwani Murphy alikuwa amevalia kofia yake ngumu ‘helmet’ na hakuwa ametumia kilevi chochote wala madawa.
Hii ni mara ya tano sasa kutolewa taarifa juu ya muigizaji Eddie Marphy , 51, kufa wakati akicheza katika barafu aktika mji huo wa Zermatt, nchini Uswis lakini mara nne hakuwa amefariki.
No comments:
Post a Comment