Binti mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Winfride amejikuta akiuga vibaya mwaka baada ya kumagiwa maji ya moto na rafiki yake wa kike.......
Ugomvi huo ulizuka baada ya huyo rafiki yake kumfuma mara kadhaa Winfride akila bata na BOYFRIEND wake.....
Hakika mapenzi ni unyama.......Ni imani yetu kuwa sheria itatenda haki kwa Winfride
No comments:
Post a Comment