Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye leo
ameshiriki katika shughuli za ujenzi wa madarsa katika Shule ya Sekondari Nyasha
Wilayani Kasulu.
Miongoni mwa Shughuli
hizo alizoshiriki ni pamoja na kuunganisha kenchi, kubeba mawe na kupiga ripu
chumba kimoja wapo cha madarasa na kumalizia na kupanda mti katika uwanja wa
shule hiyo.
No comments:
Post a Comment