Kama
unakumbuka siku zilizopita Lady Jaydee aliweka ujumbe katika ukurasa wa
facebook na kuomba maoni kutoka kwa wananchi kuhusiana na Mwinyi,kurudi
katika band yake,sasa leo Mwinyi ameeleza ukweli na kusema kwamba
hakuwa na ndoto za kurudi katika band hiyo bali ni mama yake mzazi ndiye
alimshauri na ndiyo maana ameweza kurudi tena kundini.
Hayo ndiyo maneno
ya Mwinyi baada ya kuamua kuweka ukweli juu ya Machozi Band.
No comments:
Post a Comment