Thursday, January 3, 2013

PICHA ZA UTUPU ZAENDELEA KUUTAFUNA UTAMADUNI WETU.....



Tamaa  ya pesa  imeendelea kuwa kikwazo katika  maisha  yetu  ya kila  siku.......

Matuko  ya  ajabu  yenye  tamaduni  za  nchi  za  magharibi  yameendelea  kuwa kikwazo kikubwa  katika mila na  tamaduni zetu.....


Huyu  ni  binti  aliyefahamika kwa  jina moja la Jackline.Yeye na bahasha  wake inaonesha  hawazitambui thamani na utu wa  mwafrika.....



HUU NI WAKATI MWAFAKA  WA  SERIKALI ZETU  KUCHUKUA  HATUA  STAHIKI.....

No comments:

Post a Comment