Thursday, January 3, 2013

Paparazi agongwa na gari na kufa wakati akijaribu kupiga picha gari la Justine Bieber

Paparazzi aliyekuwa akijaribu kupiga picha ya gari ya Justin Bieber (Ferrari) amegongwa na gari jingine na kufariki.
Hata hivyo Justin hakuwemo kwenye gari hilo lakini mtandao wa TMZ umesema haujui nani aliyekuwa kwenye gari hilo.
Inadaiwa kuwa mpiga picha huyo aliyekuwa akiifuata Ferrari hiyo alikuwa akijaribu kuchukua picha akiwa kwenye gari jingine na ndipo lilipogongwa na gari jingine.

No comments:

Post a Comment