Marehemu Jai Somani (kushoto, mwenye shati la kijani) alipokua akiingia mahakamani na watuhumiwa wenzake, enzi za uhai wake |
MSHITAKIWA katika kesi ya wizi wa zaidi ya Shilingi bilioni 5 za Benki
Kuu ya Tanzania kutoka katika Akaunti
ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu ya
Tanzania (EPA), Jai Chotalal Somani amejiua kwa kujipiga risasi.
Mshitakiwa huyo anadaiwa kujiua jana
asubuhi nyumbani kwake, mtaa wa
Mindu, Upanga katika Manispaa ya Ilala. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa
Parang Somani ambayeni kaka yake hajui kwa nini mdogo wake amejiua
No comments:
Post a Comment