JOH MAKINI: MASHABIKI WANGU HUU NDIYO UJI WANGU MPYA SOON KUTOKA
Msanii
rapper kutoka Arusha, maarufu kama Joh Makini Mwamba wa kaskazini baada
ya kufanya vizuri mwaka jana katika tasnia hii ya muziki wa Bongo
Fleva,mwaka huu amejipanga vema na siku za hivi karibuni anatarajia
kuachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la KI-UTU-UZIMA.Kaa tayari kwa uji huo mpya kutoka kwa Joh Makini.
No comments:
Post a Comment