Sina mengi juu ya upendo mnaoonyesha katika kuniunga mkono kwa kazi
zangu nafanya kwaajili ya utukufu wa Mungu. Sasa nimekuja na nyimbo
zingine, ukiwepo wimbo unaoitwa "Kung'uta na Yesu" Ninaomba sana mniunge
mkono watumishi wa Mungu. Siku ya kuwa sokoni albamu yangu hii mpya
nitawajulisha kwa kupitia mitandao na vyombo vya habari.
Asanteni
Rose Muhando
No comments:
Post a Comment