Kendrick Lamar |
Rapper
Kendrick
Lamar amesema kwa msanii kama Nas kutaja album yake kama album bora
ya 2012 ni mafaniikio makubwa na amempa moyo wakuendelea kufanya
vizuri. Nas alisema album ya Lamar ya kid,
M.A.A.D City, Ndio album yake bora ya mwaka 2012.
Kwenye
Interview aliofanyiwa Lamar anaye shine na single ya "Swimming
Pools" alisema hii ndio time yakufanya mambo makubwa ukisha jua
unakubalika na Legends kama Nas . Tayari Lamar ameshirikishwa kwenye
ngoma kibao mpya za wasanii tofauti kama Drake na 2 Chainz.
No comments:
Post a Comment