Screen inatumia technolojia ya OLED-
organic LED kama smart phone nyimgi za sasa lakini ikiwa kwa mfumo wa
plastic badala ya glass.
Samsung wamewashangaza watu sana wiki
hii, huko Las Vegas kwa screen ya sim inayofanya kazi na yenye uwezo wa
kujikunja kama karatasi.
screen inaendelea kufanya kazi licha
ya kukunjwa na kukunjuliwa, wakionyesha kuwa ni bora zaidi kuliko
screen zinazokunjika pekee
No comments:
Post a Comment