Wednesday, January 16, 2013

SURUALI YA LADY GAGA ILICHANIKA JUKWAANI BILA YA YEYE KUJIJUA NA MASHABIKI KUDHANI NI FASHION KUMBE:


LADY gaga sasa anazidi kupata umaarufu kwa ajili ya shoo zake anazofanya kuwa na vituko . Nyota huyo katika shoo yake ya hivi karibuni aliwaacha mashabiki wakiwa na mshangao baada ya kuinama huku suruali yake ikiwa imeachia nyuma kitendo hiko kilimuonyesha sehemu yake ya nyuma ikiwa wazi

Nyota huyo hakuonekana kujali chochote na zaidi aliendelea kufanya shoo hiyo kitendo ambacho kimeonekana kumuongezea mashabiki na kumsababisha kupendwa na mashabiki wake wengi

No comments:

Post a Comment