
Katika mfululizo wetu wa kusasambua leo naongelea kuhusu sehemu za
"Mihemuko" au za kupandisha
"Geji"
kama wasemavyo vijana wa mjini, Mume na Mke wote mnapaswa kujua ni
sehemu zipi katika mwili wa mwenza wako ukizishika au kuziminya au
kuzilamba inapobidi huleta msisimko kwake na raha kwako kwa upande
mwingine ili nyote mfurahie mapenzi yenu.Haipendezi ukaishi na mkeo au
mumeo kwa miaka na ukawa hauzitambui sehemu hizi, mbaya zaidi eti ukawa
unamwonea aibu kumshika sehemu fulani au wewe ukiguswa sehemu unautoa
mkono wa mwenzio, mh... tutafika kweli kwa staili hiyo, inabidi wote
muwe huru kusomana, kushikana na kuchezeana sehemu zote za miili yenu,
muhimu msicheze michezo michafu ya kinyume! Nakuachia wewe mpenzi
mfuatiliaji wangu kuzitafuta sehemu hizo kwa mumeo au mkeo, mimi baada
ya article hii ntawaandikia sehemu za ujumla kwa mume au mke na jinsi ya
kuzisisimua, maana watu huwa wanachanganya mambo, sehemu ya kugusa
huifinya, sehemu ya kulamba huing'ata na kuharibu zoezi zima!
No comments:
Post a Comment