Rapper Kanye West jana jumapili amethibitisha kwamba mpenzi wake girlfriend wake ambae ni Tv Star Kim Kardashian ni mjamzito.
Uthibitisho wa ukweli wa hizo taarifa uliendelea kupatikana baada ya mama mzazi wa Kim Kardashian, dada zake na mdogo wake wa kiume kutumia page zao za twitter kuonyesha furaha zao kuhusu ujauzito wa Kim Kardashian.
No comments:
Post a Comment