New Daily India
HIVYO ndivyo binti wa miaka 23 aliyekuwa mwanafunzi alivyobakwa na
wakatili nchini India hadi kufa. Binti huyo alifariki dunia na mwili
wake kuchomwa moto kama ilivyo mila na desturi za wahindi wakabila la
Baniani na waumini wa dini ya Baniani.
Binti huyo alikutana na unyama huo wakati alipokuwa akitoka
kumtembelea rafiki yake wakiume, nakukutana wakatili hao baada ya
kukosea kupanda basi ambalo halikuwa la abiria.
Katika gari hilo lililokuwa na wanaume sita alijikuta akiwa msichana
pekee ndani ya basi hilo. Wanaume hao waliamua kumfanyia binti huyo
mdogo ukatili wa kutisha baada ya kubakwa na kila mwanaume ndani ya gari
hilo.
Hata hivyo baada ya wanaume hao kufanikiwa kumbaka binti huyo,
waliaamua kutoboa sehemu zake za siri pamoja kutoboa utumbo wake mpana
na mwembamba kwatumia vyuma vinavya onyesha alama za barabrani wakiwa na
lengo la kumuuwa ili wapoteze ushahidi.
Hata hivyo baada ya unyama huo wakatili hao walimtupa pembeni mwa
barabara akiwa uchi wa mnyaka huku wakijua kuwa kafa na hatimaye
wakatokea kusiko julikana. Ingawa Mungu amemchukuwa bint huyo mdogo
asiyekuwa na hatia katika maisha yake na kukatishwa ndoto zabaaye.
Nakulingana na unyama aliofanyiwa binti huyo mdogo,watalaam wanasema
kwamba asingeweza kufurahia maisha yake ya ndoa na kabla ya kufa kwake
alikuwa akishinda akitokwa machozi,na kuzimia mara tano kwa siku. Pamoja
na kwamba binti huyo ameshazikwa, lakini Habarimpya.com inaungana na
na watu wote duniani walioguswa na unyama aliofanyiwa binti huyo.
Bila kujali kwamba hakuwa ndugu yako,hakuwa rafiki yako wala hakuwa mwanao,dada yako ama mdogo wako ungana na gfrankson.blogspot.com
kulaani unyama huo kwa ku-share ,ku-like na kutoa maoni yako chini ya
habari hii, ili ujumbe huu wa kupiga vita dhidi ya ukatili uzidi kuenea
duniani kote. Kwani unyama kama huu unaweza kukutokea hata wewe
unayesoma makala haya popote ulipo,ama mwanao,ndugu,yako mkeo mpenzi
wako rafiki yako ama mdogo gfrankson.blogspot.com itawaletea mfululizo wa maisha ya ukatili nchini india, endeleeni kufuatlia mikasa ya kutisha nchini humo
No comments:
Post a Comment