Mke wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki', Wastara Juma, akiwa na simanzi nzito kwa kumpoteza mumewe.
Baba mzazi wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki' akiwasiliana na ndugu na jamaa msibani hapo.…
Dada wa marehemu Sajuki akilia kwa uchungu.
Bibi wa marehemu Sajuki akiwasili msibani leo.
Pichani juu ni baadhi ya taswira za waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki', Tabata- Bima jijini Dar es Salaam. Sajuki amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa
No comments:
Post a Comment