Thursday, January 24, 2013

UBAKAJI, ULAWITI:WANAFUNZI WA ST JOHN DODOMA WAPATAO 5000 NA ZAIDI WAPO KATIKATI YA MJI WA DODOMA WAKIANDAMANA MUDA HUU:

Wanafunzi wapatao 5000 hivi wa chuo cha St John wanaandamana kutaka jeshi la polisi liwajibike kwa mauaji yanayoendelea kutokea ndani ya chuo yanayofanywa na vibaka na majambazi.


Ikumbukwe juzi jumatatu mwanachuo ameuawa kikatili na kuporwa simu,jana hosteli za akina dada zilivamiwa na laptops,simu na fedha kuibwa na wanafunzi kupigwa vibaya.Majambazi hayo ktk tukio la jana waliwabaka na kuwalawiti wanachuo kadhaa.

Picture


Maandamano ni makubwa sana,RPC kaingia kwa VICE Chancellor kwa mazungumzo,mbaya zaidi wanafunzi wanaelekea kituo cha polisi na kuna wasiwasi zikatokea vurugu kubwa na msuguano na polisi.

No comments:

Post a Comment