Monday, January 14, 2013

UMESHAWAHI KU DATE DIVA AU SHAROBARO?? HAYA NDIO MADHARA YAKE

Ukitaka kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi,Mafupi kama charge ya Blackberry Bold,basi Date na DIVA au SHAROBARO!
They have no Future,No Hurry like Africa Attitude ndo jadi yao,No Plans,and Nothing to loose.You are the one who is gonna loose everything.After you are done with them, Watakamata Mjinga Mjinga mwingine wa kumpukutisha na kumpotezea muda.Stay away from Divas,High Heels Inches 12 anatembea kama Bata anayekata roho,hamfiki Popote...Bishoo Suruali mlegezo na kupaka poda,hamfiki popote..
Ukiamini Diva ni Wife Material ni sawa na Kuamini Mmasai hatakaa Uchi upepo ukipuliza shuka

No comments:

Post a Comment