Monday, January 14, 2013

HUYU NDIO VIDEO QUEEN ALIYESABABISHA VIDEO MPYA YA P-UNIT KUPIGWA MARUFUKU KWENYE CITIZEN TV KENYA

Mtandao wa Ghafla Kenya uliripoti siku kadhaa zilizopita kwamba video ya P Unit na Collo – ‘U guy’ imefungiwa na kituo maarufu cha TV nchini Kenya (Citizen) kutokana na kuwa na picha zinazochochea ngono na ambazo hazifai kwa kituo kama hicho, huyu ndio mrembo ambae inaaminika amesababisha hiyo video kufungiwa.

No comments:

Post a Comment