Wednesday, January 2, 2013

UPIGAJI WA PICHA ZA NUSU UCHI PAMOJA NA VITENDO VYA USAGAJI NI KERO KUBWA KWA JAMII YETU



Vitendo  vya  kusagana pamoja na upigaji wa  picha  za nusu uchi  vimeendelea kushika kasi kila kukicha......

Asilimia kubwa  ya  picha  hizi  hupigwa  na wanafunzi wa  vyuo  vikuu na asilimia zilizobaki  zinawalenga wasanii maarufu  wa muziki  na  maigizo.......

Habari  za kuaminika zinadai kuwa picha  hizi chafu  hutumiwa KUWANASA wanaume  wenye pesa  zao...!!!

No comments:

Post a Comment