Saturday, January 26, 2013

WATUHUMIWA WA BIASHARA YA NGONO WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI DAR LEO

Wanawake wanaotuhumiwa kufanya biashara ya ukahaba wakiwa Chini ya Ulinzi wa askari kwenye Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni kwenye oparesheni ya kuwakamata inayofanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipilisi Kinondoni, jumla ya watuhumiwa 14 pamoja na baadhi ya wateja wao wamefikishwa kwenye mahakama hiyo.

Wanawake hao wakiwa na baadhi ya wateja waliokutwanao wakifanya ngono baadhi yao wakificha sura zao.

Wakiwasili kwenye mahakama ya jiji huku wakificha sura ili wasionekane.

Waswahili wa pwani wanasema shughuli imenyeshewa mvua!

No comments:

Post a Comment