Siku chache zilizopita kuana mtu alikuwa anacharge simu
yake nyumbani. Kila mara alipokuwa akipigiwa simu alikuwa anapokea wakati simu
iko kwenye charge.Baada ya dakika kidogo simu ikapata short wakati anaongea na
simu kilichomtokea ni kuungua mikono na pia kitanda na mto aliokuwa amelalia
vyote viliungua.
Kwa hali kama hii
napenda kuwajulisha wadau wangu kuwa kuweni makini wakati unacharge simu na simu
ikiita itoe kwenye charge yasije yakakutokea kama yaliyomtokea kijana huyo kwani
vidole vyake vimearibika
No comments:
Post a Comment