Sunday, February 10, 2013

UCHIZI WA DIAMOND HUU HAPA.!!!!!!


Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul maarufu DIAMOND PLATNIUM kupitia ukurasa wake wa Facebook leo hii jumapili ametupia hii picha na kusema kuwa ni craiz sunday kwake akiwa na sister wake HALIMA KIMWANA. sijui ni kiwanja gani ila Diamond amedhihirisha kuwa ilikuwa so craiz........

No comments:

Post a Comment