Sunday, February 10, 2013

WEMA SEPETU ATOLEWA MAHALI!!!!! CHEKI PICHA HII


Picha hii imewekwa na meneja wa Wema Sepetu, mzee wa single Button Martin kadinda akiwa ameiwekea kichwa cha habari "Usiniulizeeeeee" Picha hii imezua maswali mengi kwani Wema anaonekana akiwa Kama mwanamke wa kiislam anayeendakuolewa au kutolewa mahari. swali linakuja je anayemuoa ni nani?

HAYA NI MAONI YALIYOTOLEWA KATIKA PICHA HIYO

 

No comments:

Post a Comment