KUJIPIGA PICHA ZA UCHI SIO KUONESHA MNAPENDANA BALI NI KUJIDHARAU NA KUJIDHALILISHA
ANGALIZO: WaTanzania hatuna utamaduni wa kupiga picha za uchi kwa kuoneshana tunapendana kwa dhati!! Hakuna tija yoyote kufanya hivi, Dada zangu kuweni makini yasije kuwakuta kama huyo dada(pichani
hapo juu) anayefahamika kwa jina la 'jackline'
No comments:
Post a Comment