Natumaini mu wazima wa afya njema.
hili ni swali linalonitatiza kila siku
ni sababu zipi zinazopelekea mwanaume kugeuka na kumwangalia tena
mwanamke mara tu wanapopishana mfano njiani
je ni sababu zipi zinazopelekea kutokea na
kuendelea kwa hali hiyo?
No comments:
Post a Comment