FAHAMU KUHUSU BEEF YA BIG BOI NA ANDRE 3000.
Rapper
Big Boi ametoa tamko kuhusu yeye kuwa na beef na mwenzake Andre 3000 wa
Outkast,big Boi amefunguka na kusema maneno aliyoyasema kuhusu Andre
alisema kama utani tu.Fahamu kuwa Big Boi alisema alitumia muda mwingi
kumuomba Andre kushiriki katika Album yake mpya na Andre alikuwa
anamzungusha sana.Big Boi alilalamika kuwa Andre hakuwa tayari kufanya
kazi na mimi ,nilimtumia nyimbo zangu askilize ipi angependa kuwemo ila
bado hakujibu chochote.Maneno haya yalipelekea vyombo vya habari na
magazeti kuandika kuwa kuna beef kati ya rapper hawa wawili. Wasanii walio karibu na Outkast walishangazwa sana
na taarifa hizi sababu wasanii hawa wanafahamika kuwa karibu sana na
kupendana sana.Well Big Boi amesema hakuna beef na all is Good.
No comments:
Post a Comment