T.I ASEMA WASANII WALIOMFARIJI AKIWA JELA NI WATANO TU
|
T.I |
Rapper T.I ameweka wazi wakati mgumu aliopitia wakati yupo jela na kusema wasanii kama Will Smith, Eminem, Puff Daddy, Busta Rhymes, Russell
Simmons ndio walikuwa mstariwa mbele katika kumfariji kipindi
alipokuwa akitumikia kifungo chake Jela.T.I aliendelea kusema Wasanii
hao walikuja kunitembelea na kupiga simu mara kwa mara kuongea na mimi
,Kusema ukweli sikutegemea mtu mkubwa kama Will Smith atakuwa karibu na
mimi wakati huu. Rapper T.I alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela mwaka 2010 baada ya kupatikana na hatia ya kukamatwa na silaha aliyokuwa akimiliki bila kibali mwaka 2009.
No comments:
Post a Comment