Baada Ya kipindi kirefu cha kufanya kazi pamoja kama Kundi, wasanii wanaounda P Unit, Frasha, Gabu pamoja na Bon-Eye wameweka hadharani siri yao ya kuendelea mbele na kufanya vizuri wakiwa pamoja kama kundi.
Akiongea
kwa niaba ya wenzake, Gabu amesema kuwa P Unit ni kama familia na
wanaheshimiana sana, Vitu vikubwa vinavyo wasimamisha ni 1]Mipango
thabiti ambao wamejiwekea.
2] Wametambua tofauti kati ya kazi na
urafiki.
P
Unit kwa sasa inabamba kwenye chati mbalimbali za muziki kwa ngoma
yao ya You Guy ambayo wamemshirikisha King wa Rap, Collo ambaye naye
pia anaiwakilisha vizuri Kenya.
No comments:
Post a Comment