Warembo watatu wanaonekana kwenye video ya ngoma ya Tyga’s “Make it Nsty” wanadai ‘chuchu’ zao zimeonekana bila ruhusa yao.
Alissa Rae Ross, Azia Davis, na Elizabeth Velasquez wamefungua mashtaka kwa kudai kuwa walipofanya usaili kwaajili ya video hiyo kulikuwa na kipengele kisemacho “There will be NO ndity involved in the video, and all the girls will be tastefully shot.”
Katika mkataba wao wasichana hao wanadai kuambiwa kuwa “drty” version ya video hiyo isingetoka lakini ikatoka.
Wasichana hao wanashtaki kwa kukiuka mkataba, kuingiliwa usiri wao na madai mengine.
No comments:
Post a Comment