Thursday, January 3, 2013

LIL WAYNE AJIANDIKA TATTOO NYINGINE USONI

Lil wayne amekua akijichora tattoos karibu mwili  mzima sasa, licha ya kuwa nazo kadhaa usoni sasa ameongeza moja nyingine katika paji la uso kwa kuandika "BAKED"

Lil Wayne ameamua kuchora tattoo hiyo kwa kutambua mchango wa kampuni ya skateboarding inayiotwa  Baker Skateboards, ambayo inatumia jina designe hiyo kama logo ya kampuni hiyo.Wayne amekua fun wa Skateboarding kwa miaka y ahivi karibuni

No comments:

Post a Comment