Thursday, January 3, 2013

SHILOLE AMUENZI SHARO KWA KOMEDI



STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema mwaka 2013 amejipanga kufanya filamu za vichekesho ili kumuenzi marehemu Hussein Ramadhani Mkiety ‘Sharo Milionea’.
Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Akizungumza na paparazi wetu, Shilole alisema siku zote huwa hakubali kushindwa kwani alianzia kwenye filamu za ‘serious’, muziki na sasa ni muda wa komedi.
“We si unajua hata marehemu vituko tulikuwa tunafanya naye  so  hakuna jipya zaidi nitakamua ileile kumuenzi Sharo,” alisema Shilole.

No comments:

Post a Comment