Chanzo
chetu kinasema, binti huyo ambaye amekuwa gumzo chuoni hapo, ni maarufu
sana kwa kuwa wanaume lukuki ambao amekuwa akifanya nao mapenzi kwa
kuwabadilisha kama karanga za kuonja!!!!
Chanzo
kiliongeza, Japokuwa mwalimu huyo hakuona tatizo kwa hiyo video
waliojirekodi, hakudhani wala kutegemea kama ingevuja kwa kuwa dada huyo
alimuahidi haitavuja ila ni kwaajili ya kuiangalia wao wenyewe
wanapojisikia.Badala yake ni adha tupu kwa mwalimu huyo.
Kujirekodi na kuvijisha video za ngono imekua ni kawaida sasa kwa jamii za kiafrika kwa ujinga wa kutafuta umaarufu wa haraka.
Je, tutegemee nini kwa vizazi vyetu baada yam da mchache ujao…???? Tabia mbaya…….acheni.
ANGALIA PART 1 NA PART 2 HAPO CHINI...
<<PART 1.>>
<<PART2>>
CHANZO: <<MAJAMBOZI BLOG>>
No comments:
Post a Comment